UJUE UZITO SAHIHI WA BEGI LA SHULE AMBALO MTOTO ANATAKIWA KUBEBESHWA
UZITO SAHIHI WA BEGI LA SHULE AMBALO MTOTO ANATAKIWA KUBEBESHWA
• • • • • •
Begi la vitabu vya mtoto mdogo wa shule halitakiwi kuwa zito kuzidi 10-20% ya uzito wa mtoto mwenyewe ili kulinda afya na umbo la uti wa mgongo.Watoto wengi hubebeshwa mabegi mazito sana ambayo husababisha “Back pain syndrome”,tatizo linalomfanya mtoto apate kibiongo,maumivu ya mara kwa mara ya kichwa,shingo na mgongo
(📝Credits: @afyabongo )
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!