UKE UNATOA HARUFU WAKATI WA TENDO LA NDOA?

 UKE UNATOA HARUFU WAKATI WA TENDO LA NDOA?

Je unasumbuliwa na tatizo la uke kutoa harufu kali wakati wa Tendo la Ndoa?

Tatizo hili limekuwa likiwatesa wanawake wengi,huku hali hii ikiwa kero hata kwa Wapenzi wao na kwao wenyewe.

Zipo Sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia tatizo hili la uke kutoa harufu kali wakati wa tendo la Ndoa kama vile;

1. Maambukizi ya Fangasi Sehemu za Siri huweza kusababisha uke kutoa harufu,ambapo mara nyingi harufu hii huambatana na uchafu wenye rangi kama maziwa pamoja na miwasho sehemu za Siri

2. Maambukizi ya PID(Pelvic inflammatory disease) au maabukizi katika via vya uzazi vya mwanamke,huweza kuleta hali ya uke kutoa harufu mbaya

3. Kutofanya usafi wa mwili pamoja na sehemu za siri

4. Matumizi ya baadhi ya vitu,machemicals au sabuni ambazo sio rafiki kwa sehemu za siri za mwanamke


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!