Ticker

6/recent/ticker-posts

UNENE UNAVYOATHIRI URIJALI WA MWANAUME




UNENE UNAVYOATHIRI URIJALI WA MWANAUME

Mkirejea makala zangu za nyuma nimekua nikielezea juu ya uzito mzuri,ulozidi na kiribatumbo na nikatoa na namna ya kujua kama una uzito mzuri au la. Kwa kawaida hua tunatambua kama mtu una uzito mzri kwa afya kwa kulinganisha uzito wako dhidi ya urefu wako ambayo kitaalamu huitwa body mass index (BMI); sasa unapotafuta BMI yako unatakiwa ufahamu yafuatayo ili kujua upo kundi gani kiafya:


BMI kati 18.5-24.9 maanake una uzito mzuri kiafya


BMI chini ya 18 maanake una uzito mdogo na unahitaji kula vyakula vya kujenga mwili


BMI kati 25-29.9 maanake una uzito mkubwa


BMI kati 30-34.9 maanake una kiribatumbo cha kawaida


BMI kati 35-39.9 maanake una kiribatumbo kikali


BMI ya 40 na kuendelea maanake una kiribatumbo kikali mno tena mno


Sasa ewe ndugu rejea mafundisho ya awali na utafute BMI yako na kasha ujipange mwenyewe ya kwamba upo kundi gani hapo.


Mwanaume unapokua na uzito mkubwa na kiribitumbo mwili hupata mabadiliko kadha kwa kadha na kubwa zaidi ni kupata ugonjwa wa MOSH(Male obesity secondary hypogonadism) na hali hii humuathiri sana katika masuala ya uzazi,ulinzi wa mwili dhidi ya magonjwa,stamina na suala zima la mapenzi

Ugonjwa wa MOSH ni ugonjwa ambao unawapata wanaume walio wengi sana na kisababishi chake kikubwa pekee ni uzito mkubwa. .

Itaendelea..

.

.

.

.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!







Post a Comment

0 Comments