USHAURI KWA MAMA MJAMZITO KUHUSU ANAPOLALA

MJAMZITO

• • • • • •


USHAURI KWA MAMA MJAMZITO


Mama anapolala ni vizuri akaweka mto katikati ya miguu usibane miguu ipitanishe, inakusaidia kulala comfortable,damu kusafirishwa vizuri na kutopata maumivu ya mgongo.Nyakati za usiku ni kawaida kwa watoto  kupiga piga tumboni ,ila akipiga sana jua umelala vibaya anataka ubadilishe position.


Hakikisha unapendelea kulala ubavu hasa hasa ubavu wa kushoto ili kuepuka kugandamiza mshipa mkubwa wa damu maarufu kama Inferior vena cava na kusababisha matatizo makubwa kama;


Presha au shinikizo la Damu kushuka chini gafla


Maji kujaa sehemu ya chini ya miguu na miguu kuvimba


mtoto kupata shida tumboni kitaalam fetal distress n.k




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!