UWEPO WA TATIZO LA KUVIMBA TONSILS,MATONSESI(TONSILITIS)
UWEPO WA TATIZO LA KUVIMBA TONSILS,MATONSESI(TONSILITIS)
Upungufu wa vitamin D hupelekea kupatatwa mara kwa mara na homa za kooni kwa maana ya kupata maambukizi na kuvimba kwa tonsils,matonsesi (tonsilitis),kuvimbwa kooni na kuwasha kooni nk.
Watu wenye upungufu huu hasa watoto wanapata homa za mara kwa mara na inaweza kufikia sehemu tiba pekee ya kumaliza tatizo hilo ni kufanyiwa operesheni ya kuzitoa(tonsilectomy)
Nawashauri mpende KUOTA JUA LA ASUBUHI,Kula mayai ya kienyeji,kula samaki wenye mafuta kama sangara,salmon nk ili kupata vitamin D za kutosha..
Ukipata ujumbe huu mshirikishe na mwenzako
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!