VIHATARISHI VYA KUPATA SHAMBULIO LA MOYO(HEART ATTACK)

SHAMBULIO LA MOYO

Hutokea pale mishipa ya damu inayohudumia tishu za moyo inapoziba.Mara nyingi mishipa hii huzibwa na mafuta, lehemu au bonge la damu.


Vihatarishi vya kupata hili tatizo hujumuisha

1.Umri zaidi ya miaka 45-mwanaume na 55-mwanamke

2.Sigara/Shisha

3. Shinikizo kubwa la damu

4. Kisukari

5.Unene uliokithiri

6. Lehemu nyingi kwenye damu

8. Kutokufanya mazoezi

9. Historia ya shambulio la moyo katika familia

10. Matumizi ya dawa za kulevya

.drngimi


.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!