VISABABISHI VYA MATITI KWA WANAUME

VISABABISHI VYA MATITI KWA WANAUME.

Kama nilivokwisha kusema hapo juu ni kwamba kwa mara nyingi matiti kwa mwanaume yaweza kua ni jambo la kawaida na la mpito tu. Zipo sababu nyingi zisababishavyo hali hii na nitaenda kutaja baadhi ya visababishi ambavyo ni kama ifuatavyo;- BALEHE

Wavulana wengi pindi wanapoalehe hupatwa nah ii hali na inakadiriwa kwamba karibia asilimia 70 ya wanobalehe wankuaga nah ii hali.wakati mvulana anapoanza balehe anakua na vichocheo vingi vya kike E2 kabla ya vya kiume.HII HALI HUA INAISHA YENYEWE KUANZIA MIEZI 6 HADI MIAKA 2 BAADA YA KUOTA MATITI,LAKINI KUNA WENGINE HUKATAA KUISHA NA KUKAA NAYO KWA MUDA KIDOGO.


MADAWA.

Kuna baadhi ya madawa kwa ajili ya kutibu magonjwa kadhaa yanahusishwa na uotaji matiti kwa wanaume.hali hii isimfanye mtumiaji dawa aache dawa bali kama hali yake itakua inaendelea inambidi amuone daktarin ili apewe ushauri kuhusu madawa hayo.


MITISHAMBA

Kama wote mnavyoona siku hizi kumekua na wimbi la matumizi madawa ya mitishamba maarufu dawa za mmasai. Sasa baadhi ya majani au mizizi hio ina vichocheo vya kike lakini huwezi jua huwezi kuona madhara yake mwanzoni ila baadae.TUWENI MAKINI.


MATATIZO YA INI (INI KUSHINDWA KUFANYA KAZI)


SARATANI YA MAKORODANI


MATUMIZI YA VIPODOZI


MATATIZO YA FIGO (FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI)


MATATIZO YA DUNDUMIO (DUNDUMIO KUFANYA KAZI KUPITILIZA)


KUA NA UZITO MKUBWA


POMBE NA NYAMA CHOMA/KITIMOTO


KUZALIWA MWANAMKE MWANAUME (wanaume hawa wanazaliwa wana baadhi ya via vya kike japokua kwa muonekano anaonekana ni mwanaume,hawa hua na vichocheo vingi vya kike)


MATITI YA KURITHI


Sasa ndugu zanguni ambao mna hii hali msiwe na wasiwasi,jifunze namna ya kuendana na hii hali .kama unaona yanakuletea shida!njoo hospitali ili UPIMWE NA KUJUA NI KIPI KINACHOKUSABABISHIA MATITI NA KIKISHAFAHAMIKA UTAPATA TIBA STAHIKI.kuna tiba za aina nyingi kama dawa za kuyapunguza,unaeza kufanyiwa opereshen ya kuyatoa au matiti yako yakachomwa na mionzi na yakaisha.

Vilevile acheni kutumia pombe kali,nyama choma na kitimoto kilichopitiliza,pendeni kufanya mazoezi na EPUKA DAWA ZA MMASAI.


Mwanaume kua na matiti makubwa kiasi hayakuondolei uanaume wako kwa hio jiamini na songa mbele.


.

.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!