VITU VYA KUFANYA UNAPOUGUA MAFUA
PALE UNAPOKUWA NA TATIZO LA MAFUA FANYA YAFUATAYO
1.Piga chafya ndani ya kiwiko sio kiganja
2.Usiwape watu mkono; utawaambukiza
3.Nawa mikono mara kwa mara
4.Kunywa maji ya kutosha
5.Kaa nyumbani; subiri saa 24 hadi homa ipoe ndo urudi kazini
6. Tangawizi, machungwa/limao, supu ya kuku ni baadhi ya vyakula ambavyo hupunguza dalili ya mafua
7.Lala muda wa kutosha
8.Iwapo mafua yanaambatana na kikohozi, homa kali, kushindwa kunusa/kusikia ladha na kushindwa kupumua nenda hospitali.
(📝 @dr_normanjonas )
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!