VITU VYA KUZINGATIA KILA UKIAMKA ASUBUHI KUIMARISHA AFYA YAKO

 KILA UKIAMKA ASUBUHI


Baada ya kuamka asubuhi zingatia mambo haya ili kuanza siku yako vizuri na uendelee kuimarisha afya;


Kwanza kila mmoja wote anafaham kwamba lazima uanze siku na Mungu kwa kumshukuru amekulinda usku mzima lakini pia aendelee kukulinda siku nzima na kuibariki siku Yako.


ZINGATIA PIA MAMBO HAYA KILA UKIAMKA ASUBUH


Watu wengi hawajui kwamba kabla ya kutanguliza kupigwa mswaki na kutema kila kitu kutoka mdomoni, unatakiwa kwanza kabla ya kupiga mswaki ule au unywe chochote mfano maji ya kunywa ni muhimu zaidi, ili kusaidia content za mdomoni ziendelee kutumika mwilini kwani ni muhimu sana,badala ya kupiga mswaki na kutema kila kitu alafu baadae ndyo unakula kitu chochote.


Baada ya kula chochote,kaa kaa kidogo ndyo uanze kupiga mswaki na kunawa uso wako, ni vizuri kusafisha meno kwa kutumia dawa za meno ili kuendelea kutunza meno yako zidi ya wadudu au bacteria na kuendelea kuimarisha afya ya meno.


Baada ya hapo,anza kufanya mazoezi mbalimbali ya mwili wako pamoja na viungo, huku wengi wenu mkipenda zaidi mazoezi ya kukimbia asubuhi,kuruka kamba, au mazoezi ya jim.


Baada ya kufanya mazoezi mbalimbali,kaa kidogo,ndyo sasa uende kuoga na kusafisha mwili mzima tayari sasa kwa kuanza kazi za siku husika, kama ni ofsini nenda ofsini N.K


KUMBUKA; Jukumu langu kwako ni kuendelea kukushauri, kukuelimisha na kukupa msaada wa kiafya pale unapohitajika.


@ Kwa ushauri zaidi,elimu au Tiba tuwasiliane kupitia namba +255758286584




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!