VYAKULA VINAVYOONGEZA UTENGENEZWAJI WA MAZIWA

VYAKULA

• • • • • •

VYAKULA VINAVYOONGEZA UTENGENEZWAJI WA MAZIWA.


Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika au kukubwa na tatizo la kutokutengeneza maziwa ya kutosha na hivyo kupelekea ukuaji hafifu wa watoto wao.  Vifuatavyo ni vyakula na matunda yaongezayo utengenezaji wa maziwa.


1. Mboga za majani kama spinachi na matembele

2. Vitunguu swaumu na tangawizi. Mbali na kuongeza radha ya chakula viungo hivi vinaaminika kwa kuongeza utengenezaji wa mazima.

3. Siagi ya karanga

4. Viazi vikuu, viazi vitamu, karoti na mapapai

5. Maziwa ya ng’ombe, maji mengi na juisi ya kutengeneza

6. Mbegu za mikunde kunde (zina protini nyingi)

7. Mayai na nyama( kama supu ya kuku)

8. Parachichi (avocado)

9. Mafuta ya samaki

10. Nafaka na vyakula vya wanga kama mkate, mtama, mahindi na vyakula vya ngano.


SABABU ZINAZOPELEKEA UPUNGUFU WA MAZIWA.

1. Kutokunyonyesha mara kwa mara hasa hasa wakati wa usiku.

2. Kuchelewa kuanzisha unyonyeshaji wa mtoto. 

3. Uwekaji mbaya wa mtoto katika ziwa

4. Matumizi ya chupa





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!