WANAUME WENYE UZITO MKUBWA WATAPATA ATHARI ZIFUATAZO

UZITO MKUBWA

• • • • • •

WANAUME WENYE UZITO MKUBWA WATAPATA ATHARI ZIFUATAZO


1) Matatizo ya kushindwa kusimamisha uume(erectile dysfunction)


2) Kupungukiwa au kutokua na hamasa ya tendo la ndoa (decreased/loss of libido)


3) Kupungukiwa mbegu za kiume (Low sperm count)


4) Ugumba/utasa(infertility)


5) Kua na uume mdogo na unaweza hata kua kama wa mtoto(micropenis)


6) Kua/kuota na matiti (gynecomastia)


7) Kua na mifupa laini au isokua imara (low bone mineral density)


8) Misuli kuisha/kupungua pamoja kuishiwa nguvu ya misuli (sarcopenia)


9) Homa za mara kwa mara


10) Matatizo ya kiufahamu (Difficulty concentrating,cognitive impairment)


11) Shinikizo la damu(hypertension)


12) Kua na hasira hasira za haraka (increased irritability)


13) Kupungukiwa na damu (anemia)


14) Kisukari (type 2 diabetes mellitus)


15) Magonjwa ya moyo(cardiovascular disease)


16) Kujiona mnyonge,mdhaifu (Poor self-image)


17) Sonona(Depression)


18) Kupungua kwa nywele katika sehemu mbalimbali za mwili (Decrease in hair growth on the face and body)


Sasa ndugu zanguni mambo haya yatatibika na yanakaa vizuri kabisa,jitahidi sana upunguze uzito na ufike kwenye BMI ambayo ni nzuri kiafya kadhalika mambo mengine yanatatulika tu vizuri kwa ushauri na dawa. Kwa yeyote unaesomaga makala hii na unahisi una tatizo hili,au una ndugu/rafiki yako ana tatizo hili,au mumeo/,mpenzi wako msauri aonane na mtaalamu wa afya alie karibe nae kwa ajili ya kumsaidia .

#drngimi




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!