MIHOGO
• • • • • •
ZIFAHAMU FAIDA ZA KULA MIHOGO MIBICHI, NAZI MBATA NA KARANGA.
1. Kwa Wanaume husaidia kuimarisha na kuongeza nguvu za kiume kutokana na wingi wa virutubisho vya madini ya Zinc na Potassium. Tumia sana kwa wingi.
Faida nyingine ni pamoja na zifuatazo
2. Hutunza ngozi na kulinda nywele.
3. Huimarisha Afya ya Macho.
4. Huimarisha afya ya via vya uzazi.
5. Huepusha matatizo ya Moyo yatokanayo na wingi wa lehemu hivyo huondolewa na Nazi au karanga Kwa kuwa ina kiwango kikubwa cha "Lauric acid". 6. Nazi mbata na karanga mbichi husaidia kuepukana na athari za kuvimbiwa.
7. Huongeza nguvu za mwili kutokana na mafuta yake kuelea Kwa kiasi kidogo kwenye damu (Medium Chain triglycerides- MCT) na hivyo husafirisha moja kwa moja hadi kwenye Ini ambako hutumika kama chanzo cha haraka cha nguvu. Hivyo utapata faida hizi kama utakuwa unakula kwa wingi mihogo mibichi, Nazi mbata na karanga.
.
.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!