ZIJUE SIZE ZA UUME

UUME MDOGO (MICROPENIS)

Hii ni ile hali ya mwanaume anakua na uume ambao ni mdogo kimuonekano,mfupi na mwembamba kimaumbile.

Ikumbukwe kwamba saizi ya uume inakua inatofautiana kulingana na umri wa mtu ,mfano urefu na unene wa mtu wa miaka 5 sio sawa na wa mtu mwenye miaka 20..

Vile vile ikumbukwe pia size na urefu wa uume hupimwa tu pale uume ukiwa umesimama au umenyoonyshwa vizuri na kama mwanaume hajatahiriwa ,govi linatakiwa livutwe kwa nyuma na kuacha kichwa cha uume(glans penis) kionekane.

Kua na maumbile madogo kwa wanaume kunawafanya wajione hawajakamilika na hivo kupoteza kujiamini katika jamii na hasa katika masuala ya mahusiano..

kutokana na matokeo ya mdororo wa kisaikolojia wapatao baadhi ya wanaume wenye maumbile madogo basi wengine huamua kujiingiza katika matendo mabaya kama ulevi,uvutaji bangi,ushoga nk

Kikawaida maumbile ya kiume huendana na umri wa mtu kama ifuatavyo:

1) Watoto wenye umri wa miezi 0-5;uume unakua kati ya sentimita 2.5 hadi 4

2) Watoto wenye umri wa miezi 6-12;uume unakua kati ya sentimita 3.1 hadi 4.3

3) Watoto wenye umri wa mwaka 1-2;uume unakua kati ya sentimita 3.7 hadi 4.8

4) Watoto wenye umri wa mwaka 2-3;uume unakua kati ya sentimita 4.5 hadi 5

5) Watoto wenye umri wa mwaka 3-4;uume unakua kati ya sentimita 4.8 hadi 6

6) Watoto wenye umri wa mwaka 4-5;uume unakua kati ya sentimita 5 hadi 6.4

7) Watoto wenye umri wa mwaka 5-6;uume unakua kati ya sentimita 5.5 hadi 6.5

8) Watoto wenye umri wa mwaka 6-7; uume unakua kati ya sentimita 5.7 hadi 6. 5

9) Watoto wenye umri wa mwaka 7-8;uume unakua kati ya sentimita 5.9 hadi 6.8

10) Watoto wenye umri wa mwaka 8-9;uume unakua kati ya sentimita 6 hadi 7

11) Watoto wenye umri wa mwaka 9-10;uume unakua kati ya sentimita 6 hadi 7

12) Watoto wenye umri wa mwaka 10-11;uume unakua kati ya sentimita 6.2  hadi 7.3

13) WATU WAZIMA WANAKUA NA UUME WENYE UREFU KATI YA SENTIMITA 13 HADI 19

Itaendelea..

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!