DALILI ZA CORONA

 DALILI ZA CORONA,UCHUNGUZI NA JINSI YA KUJIKINGA


DALILI ZA CORONA


1. Mgonjwa joto la mwili kupanda au kupata homa

2. Mgonjwa kupata maumivu makali ya kifua wakati wa kukohoa

3. Mgonjwa kubanwa na mbavu

4. Mgonjwa kupatwa na Mafua makali yanayoambatana na kichwa kuuma sana

5. Mgonjwa kupata Kikohozi kikavu

6. Mgonjwa kupata uchovu wa mwili kupita kiasi

7. Mgonjwa kushindwa kupumua au kupata shida wakati wa kupumua

8. Mgonjwa kupoteza hamu ya kula

9. Wakati mwingine Mgonjwa kuharisha( Nadra)



UCHUNGUZI WA CORONA


Moja ya vitu ambavyo huchunguzwa ni pamoja na joto la Mwili, au sampuli za Damu za mtu ambaye anaonyesha dalili hizi za corona

 

NJIA ZA KUJIKINGA NA CORONA


1. Nawa vizuri mikono yako kwa sabuni na maji safi

2. Epuka kukaa maeneo yenye Msongamano wa watu wengi

3. Funika mdomo wako kwa kutumia masks au maarufu kama Barakoa 

4. Epuka kuwa karibu au kugusana na mtu mwenye dalili

5. Epuka kusalimia watu kwa kuwashika Mikono

.

KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUNAWEZA KUWASILIANA KWA NAMBA +255758286584.






0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!