FAHAMU VIRUTUBISHO VILIVYOPO NDANI YA MBEGU ZA MWANAUME.(SPERM)

 MBEGU ZA KIUME

• • • • • •

FAHAMU VIRUTUBISHO VILIVYOPO NDANI YA MBEGU ZA MWANAUME.(SPERM)


Nguvu za mbegu za kiume hasa katika kurutubisha mayai pia hutegemea sana na kiwango cha Virutubisho muhimu vinavyotakiwa kuwepo Ndani ya mbegu.


Hivo basi hata uwezo wa mwanaume kumpa mwanamke mimba hutegemea sana nguvu za mbegu,pamoja na kiwango cha uzalishaji. Utakubaliana na mimi kwamba moja ya tatizo kubwa linalofanya mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke ni pamoja na kushindwa kuzalisha kiwango cha kutosha cha mbegu za kiume yaani kwa kitaalam tunaita LOW SPERM COUNT.



VIRUTUBISHO MUHIMU KWENYE MBEGU ZA KIUME


Kwenye mbegu za kiume kuna virutubisho mbali mbali ambavyo ni pamoja na;

  • Uwepo wa madini ya Zinc
  • Uwepo wa magnessium
  • Uwepo wa sodium
  • Uwepo wa potassium
  • Uwepo wa vitamins kama B12 na C
  • Uwepo wa calcium
  • Uwepo wa Protein ya kutosha
  • Uwepo wa virutubisho vya acids kama Lactic acid na Citric acid
  • N.K


Kuna vyakula muhimu pia vya kula ili kupata virutubisho hivi kama una shida hii ya upungufu wa Virutubisho hivi.


Itaendelea...



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!