STRAWBERRY
• • • • • •
FAIDA ZA STRAWBERRY MWILINI
Watu wengi hawajui Faida nyingi za matumizi ya Matunda haya ya strawberry katika mwili wa binadamu. Matunda haya yana faida nyingi sana mwilini, na leo tutazungumzia faida hizo.
FAIDA ZA STRAWBERRY MWILINI NI PAMOJA NA;
1. Husaidia katika kuimarisha uwezo wa ubongo katika kuweka na kutunza kumbukumbu,hivo kumfanya mtu kuwa na kumbukumbu zaidi
2. Matunda haya yana kiwango kikubwa cha Madini aina ya Zinc, hivo kusaidia katika maswala mazima ya uzazi kwa mwanaume
3. Matunda haya pia husaidia katika kuimarisha afya ya Ngozi
4. Strawberry husaidia sana hata kwa wagonjwa wa Presha aina zote mbili (presha ya kupanda na kushuka)
5. Strawberry husaidia pia katika kuimarisha afya ya mifupa
6. Pia matunda ya Strawberry yana madini mazuri ambayo husaidia kwa kiwango kikibwa katika ukuaji wa mtoto tumboni,hivo yanafaa sana kwa mama Mjamzito.
7. Strawberry husaidia pia katika kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa
8. Matunda haya ya strawberry husaidia pia katika kuweka vizuri mzunguko mzima wa Damu mwilini
9. Strawberry pia ni kinga dhidi ya kutokea kwa kansa mbali mbali katika mwili wa binadamu
10. Matumizi ya Strawberry ni njia nzuri ya kusaidia katika kupunguza uzito kwa watu wenye uzito kupita kiasi
11. Kwa mtu ambaye kaumia au ana kidonda,matumizi ya strawberry husaidia vidonda kupona kwa haraka.
JINSI YA KUTUMIA STRAWBERRY
- Matumizi huweza kutofautiana kati ya mtu na mtu kwa kadri ya pendeleo la mtu. Lakini cha Msingi ni kuitumia.
- Wengine huweza kutumia kama juici, Wengine kula kama Tunda,wengine kuweka kwenye chakula, N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!