JE WAJUA MIDOMO YA BINADAMU INA BAKTERIA?

MIDOMO

• • • • • •

JE WAJUA MIDOMO YA BINADAMU INA BAKTERIA?


Inawezekana kabsa,Moja ya tabia ambayo wengi huona kama fashion ni watu ambao wapo kwenye mahusiano kukiss. Lakini kiss inaweza kuwa na afya au vile vile ikawa hatari kwa afya yako.


Inasemekana Ndani ya mdomo wa Binadamu kuna takribani Bakteria Bilioni Saba. Nanukuu...!!! 


" Midomo ya wanadamu ina bakteria wanaokaribia bilioni 7. Bakteria na vimelea vingine vya maradhi huenea mgonjwa anapopiga chafya au kubusiana na mtu asiye na vimelea. Ingawa kubusiana kunaweza kuwa na faida kwenye mahusiano ila huweza kueneza mafua kirahisi" (Chanzo; Utafiti.)


.

Si hivo tu, kwa mtu ambaye ana magonjwa yanayohusu mdomo au ulimi kama Fangasi, huweza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

Kinga ni Bora kuliko Tiba,Chukua Tahadhari.



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!