KILELENI
• • • • • •
JE ZIPI NI FAIDA ZA MWANAMKE KUFIKA KILELENI?
Kufika kileleni kwa Mwanamke ni sawa na kusema kuridhika kwa mwanamke wakati wa tendo la Ndoa. Zipo faida nyingi kiafya endapo mwanamke atafanya tendo la ndoa na kufika kileleni. Faida hizo ni pamoja na;
- Mwanamke akifika kileleni wakati wa tendo la ndoa humsaidia hata katika kurekebisha Mzunguko wake wa hedhi.
- Kufika kileleni husaidia katika kuboresha Mzunguko mzima wa damu,ikiwemo kuzipa afya Seli hai za mwili.
- Kufika kileleni husaidia kulipa nguvu tezi aina ya hypothalamus,kurekebisha vichocheo vinavyohusika na upevushaji wa mayai, hivo kusaidia katika kupevusha mayai ya mwanamke na kuongeza uwezekano wa mwanamke kupata mimba.
- Kufika kileleni husaidia mwili katika mfumo wa kupambana na sumu mwilini yaani DETOXIFICATION PROCESS
- Kufika kileleni kwa mwanamke husaidia hata katika mmeng'enyo wa chakula yaani digestion process
- Kufika kileleni hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani au Kansa.
- Kufika kileleni humsaidia mwanamke kuondoa Msongo wa mawazo au Stress
- Kufika kileleni humfanya mwanamke awe na Mood mda wote
- Kufika kileleni humfanya mwanamke kuwa na furaha na uso wenye tabasamu mda wote
- Kufika kileleni kwa mwanamke humfanya Ubonge wake kufanya kazi vizuri mda wote
- Kufika kileleni kwa mwanamke husaidia kurekebisha kiwango salama cha Estrogen, kinachopelekea afya ya Tishu za ukeni,kuzuia ugonjwa wa mifupa pamoja na magonjwa ya Moyo.
- Kufika kileleni kwa mwanamke huleta afya ya Ngozi
- Kufika kileleni kwa mwanamke husaidia kuimarisha kinga ya mwili
- Kufika kileleni kwa mwanamke Husaidiai kuimarisha seli za mwili
- Kufika kileleni kwa mwanamke husaidia kuondoa maumivu mbali mbali katika mwili wa mwanamke yakiwemo maumivu ya kichwa
- KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!