JIFUNZE MATUMIZI SAHIHI YA PEANUT BUTTER

PEANUT BUTTER

• • • • • •

JIFUNZE MATUMIZI SAHIHI YA PEANUT BUTTER


Kutokana na kiwango kikubwa cha PROTEIN pamoja MAFUTA yalipo ndani ya Peanut Butter, Kama hakuna matumizi sahihi ya Peanut Butter itakupelekea kunenepa na kuongezeka uzito kupita kawaida.


.


Lakini pia Peanut Butter ina kiwango kikubwa cha CALORIES hivo huweza kuongeza uzito sana kwa haraka.


.


Matumizi sahihi ya Peanut Butter ni Yapi?


✓ Hakikisha unatumia si zaidi ya Vijiko viwili vya chakula kila siku , hivi havitafanya uongezeke uzito , bali utakua na uzito mzuri tu na utakua na afya nzuri

.

KUMBUKA; Kadri unavyoongeza kiwango cha PEANUT BUTTER kila siku ndivo unavyoongeza kiwango cha PROTEIN,FATS na CALORIES mwilini,na ndivo unavyopata matokeo kama kunenepa sana na kuwa na Uzito mkubwa kupita kiasi.


Hivo kula kwa kuzingatia kiwango,ili kuepuka madhara kama hayo

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!