HARUFU MBAYA MDOMONI
•••••••
JINSI YA KUJIKINGA NA HARUFU MBAYA MDOMONI PAMOJA NA MATIBABU YAKE
Harufu mbaya mdomoni yaweza kuwa tatizo/ugonjwa au kutokana na kinywa kutokufanyiwa usafi vizuri.
Je unawezaje kujikinga na Harufu Mbaya Mdomoni?
• Hakikisha unasafisha kinywa mara tu baada ya chakula au asubuhi pia ukiamka asubuhi, isipite siku hujasafisha kinywa chako
• Hakikisha unatumia dawa za meno kila unaposafisha kinywa chako, hizi husaidia kung'arisha meno lakini pia kuuwa wadudu wanaoweza kushambulia meno yako
• Hakikisha unakunywa maji ya kutosha,hii pia husaidia kwa asilimia kubwa kuondoa harufu mbaya mdomoni.
Kama Tatizo bado lipo nenda hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu
.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!