KANSA YA MIFUPA
.........
KANSA YA MIFUPA,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE
Katika mwili wa Binadamu kuna aina nyingi za Kansa Ikiwemo hii ya mifupa ambayo tunaizungumzia hivi Leo. Kansa hizo ni pamoja na;
- Kansa ya Damu
- Kansa ya Ngozi
- Kansa ya Mapafu
- Kansa ya Koo
- Kansa ya utumbo
- Kansa ya shingo ya Kizazi
- Kansa ya matiti
- Kansa ya kizazi
- Kansa ya Ini
- Kansa ya Ubongo
- Kansa ya Tumbo
- Kansa ya mifupa
- Kansa ya kibofu cha mkojo
- Kansa ya Ubongo
- N.K
Hivi leo tutazungumzia kuhusu aina hii ya kansa ya mifupa,Je dalili zake ni zipi? na matibabu yake ni yapi?
Kama lilivyo neno lenyewe,Kansa hii hutokea kwenye mifupa, na endapo itatokea Mgonjwa atapata Dalili zifuatazo;
- Kupata maumivu makali kwenye Mifupa ya Miguu pamoja na Mikono
- Mifupa ya mwili Kuvunjika kwa haraka sana
- Kuvimba Miguu au mikono
- Uzito wa mwili kushuka sana
- Kupatwa na homa za mara kwa mara
- Kupatwa na shida ya kuishiwa damu mara kwa mara Kwani mifupa huhusika katika utengenezaji wa Damu
MATIBABU
Kama zilivyo kansa zingine,urahisi wa matibabu ni pale ambapo ugonjwa huu umegundulika mapema kabla ya kufikia stage mbaya,Kwani ikifikia stage mbaya hata kutibu pia ni vigumu. Hivo pale ukijihisi tofauti pamoja na kuona dalili nilizozitaja hapo juu wahi hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!