KANSA YA UBONGO
.........
KANSA YA UBONGO,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE
Katika mwili wa Binadamu kuna aina nyingi za Kansa Ikiwemo hii ya ubongo ambayo tunaizungumzia hivi Leo. Kansa hizo ni pamoja na;
- Kansa ya Damu
- Kansa ya Ngozi
- Kansa ya Mapafu
- Kansa ya Koo
- Kansa ya utumbo
- Kansa ya shingo ya Kizazi
- Kansa ya matiti
- Kansa ya kizazi
- Kansa ya Ini
- Kansa ya Ubongo
- Kansa ya Tumbo
- Kansa ya kibofu cha Mkojo
- Kansa ya Mifupa
- N.K
Hivi leo tutazungumzia kuhusu aina hii ya kansa ya ubongo,Je dalili zake ni zipi? na matibabu yake ni yapi?
Kama lilivyo neno lenyewe,Kansa hii hutokea kwenye ubongo, na endapo itatokea Mgonjwa atapata Dalili zifuatazo;
- Mgonjwa Kupoteza Fahamu
- Kuwa na tatizo la kupoteza Kumbukumbu
- kupata maumivu makali sana ya Kichwa
- Kupatwa na shida ya mwili kufa Ganzi
- Mwili kuchoka kupita kawaida
- Kupatwa na Kifafa ambacho hukuwa nacho
- Kupatwa na hali ya kuona maruerue au kutokuona vizuri
- N.K
MATIBABU
Kama zilivyo kansa zingine,urahisi wa matibabu ni pale ambapo ugonjwa huu umegundulika mapema kabla ya kufikia stage mbaya,Kwani ikifikia stage mbaya hata kutibu pia ni vigumu. Hivo pale ukijihisi tofauti pamoja na kuona dalili nilizozitaja hapo juu wahi hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!