TATIZO LA MWANAMKE KUBLID DAMU NYINGI NA KWA MDA MREFU

TATIZO LA MWANAMKE KUBLID DAMU NYINGI NA KWA MDA MREFU

• • • • • •

Tatizo hili limekuwa likiwasumbua wanawake wengi sana kwa hivi sasa na huku wengine mbali na kublid mda mrefu pia mzunguko mzima wa hedhi umekuwa wa kutokueleweka kabsa. Mfano; mara apitishe miezi miwili bila kuona siku zake, mara aone mara mbili ndani ya mwezi Mmoja N.k


Tunasema mwanamke ameblid kwa Mda Mrefu hasa pale period inapotoka kwa zaidi ya Siku Saba Mfululizo. Hilo ni tatizo...


SABABU ZA MWANAMKE KUBLID DAMU NYINGI NA KWA MDA MREFU NI PAMOJA NA;


1. Matumizi ya Njia mbali mbali za Uzazi wa mpango kama Sindano au Vipandikizi, ambapo huchangia shida ya Mvurugiko wa Vichocheo vya mwili,ndipo mwanamke hupata matokeo mbali mbali kama vile; kublid kwa Mda mrefu mfululizo, period kutokueleweka, kukaa mda mrefu pasipo kuona siku zake, N.K


2. Tatizo la Damu kushindwa kuganda ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Coagulopathy,  Hali hii ya damu kushindwa kuganda husababisha damu kutoka Mfululizo bila kukata.


3. Kupatwa na shida ya Uvimbe ndani ya kizazi ambapo mbali na kupata dalili za kublid kwa Mda mrefu pia mwanamke huweza kupata blid au kuona siku zake mara mbili ndani ya mwezi mmoja.


4. Mvurugiko wa vichocheo vya mwili ambao huchangiwa na Sababu mbali mbali kama vile,matumizi ya baadhi ya njia za uzazi mpango, matumizi ya baadhi ya Dawa ambazo huhusisha kurekebisha vichocheo vya mwili au Hormones,N.K.

Shida hii inatibika kabsa kama ukipata tiba sahihi,Endapo una tatizo hili na hujui cha kufanya tuwasiliane ili upate msaada



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!