VISABABISHI VYA MATATIZO YA AKILI KWA MTU PAMOJA NA TIBA YAKE

 MATATIZO YA AKILI

•••••

VISABABISHI VYA MATATIZO YA AKILI KWA MTU PAMOJA NA TIBA YAKE


Kwa asilimia kubwa afya ya akili huanza kujengwa tangu mtoto akiwa tumboni. Mtu mwenye matatizo ya akili huzaliwa nayo kutokana na shida inayotokea wakati wa uumbaji wa ubongo wa mtoto au huyapata akiwa katika umri mdogo sana kabla ya kuwa mtu mzima, japo kuna wengine huyapata wakiwa ukubwani kutokana na sababu mbali mbali pia.


Kwa kiasi kikubwa matatizo ya akili humfanya mtu kuwa na shida ya kiutendaji ya vitu mbali mbali kama vile; Uwezo wa kiutambuzi,uwezo wa kusoma,kuhifadhi kumbukumbu, N.K


SABABU ZA MTU KUPATA MATATIZO YA AKILI


  1. Matatizo ya akili kutokana na shida ya uumbaji wa ubongo wakati mtoto akiwa tumboni
  2. Matatizo ya akili ya kurithi vinasaba ndani ya ukoo husika
  3. Matatizo ya akili yanayotokana na Magonjwa ya akili
  4. Matatizo ya akili ambayo hutokea baada ya mtoto kuzaliwa
  5. Matatizo ya kijamii,msongo wa mawazo, n.k
  6. Magonjwa mbali mbali wakati wa Ujauzito kama vile kaswende(Syphilis)
  7. Mjamzito kupigwa na mionzi mikali ambayo hupenya moja kwa moja kwa mtoto
  8. Kula vitu venye Sumu wakati wa Ujauzito
  9. Shida inayotokea katika kondo la Nyuma la mama mjamzito
  10. Mtoto akiwa mdogo kupatwa na shida ya ukoseni wa Oxygen
  11. Kupatwa na shida ya UTI ya Mgongoni
  12. Kupata ajali, au kudondoka na kuumia sehemu ya kichwani ikiwemo Ubongo.


JE MATIBABU YA MTU MWENYE MATATIZO YA AKILI NI YAPI?


Matibabu yake hutegemea pia chanzo cha tatizo.Hivo ni vizuri kwenda hospital kufanyiwa uchunguzi kwa kina ili kuweza kupata matibabu sahihi kwako.

• 

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!