BAADHI YA DALILI ZA TATIZO LA MVURUGIKO WA VICHOCHEO MWILINI(HORMONE IMBALANCE).
HORMONE IMBALANCE
• • • • •
BAADHI YA DALILI ZA TATIZO LA MVURUGIKO WA VICHOCHEO MWILINI(HORMONE IMBALANCE).
1. Kutokuwa na mpangalio mzuri wa siku zako za hedhi yaani kuwa na mpangalio wa hedhi wa kubadilika badilika au Irregular Menstrual Cycle
2. Kupatwa na shida ya mimba kutoka zenyewe
3. Kupata hali ya ukavu katika sehemu za siri za Mwanamke
4. Kutokwa na maziwa wakati hunyonyeshi wala sio Mjamzito au hauna mimba yoyote
5. Pamoja na dalili zingine kama Picha inavyoeleza hapa chini.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!