CHAKULA NA AFYA
• • • •
CHAKULA NA AFYA WAKATI WA ASUBUHI(ijenge afyabora)
Watu wengi hawajui kwamba unatakiwa ule vizuri sana asubuh hata kuliko mlo wa mchana na Usku.
Badala yake,watu hula asubuh vibaya au kutokula kabsa wakati wa asubuh,alafu ndyo mchana wale chakula na usku ndyo wanakula chakula kingi sana
Ni sawa kabisa kuamka asubuhi na njaa na kuanza na kitu kizito kama Ugali..
.
Kuliko kuamka asubuhi na kiporo cha wali maharagwe
.
Pika ugali wa oats au dona ni salama zaidi kuliko kiporo cha wali
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!