CHANZO CHA NDOTO MBAYA USIKU UKIWA UMELALA(ni pamoja na chakula,soma hii..!!)
NDOTO USIKU
• • • • •
CHANZO CHA NDOTO MBAYA USIKU UKIWA UMELALA(ni pamoja na chakula,soma hii..!!)
Tafiti zinaonyesha kwamba ulaji wa chakula kingi na kizito kama ugali wakati wa usku, halafu ukalala muda huo huo upo kwenye hatari ya kuota ndoto nyingi usku. Soma hapa sababu.!!
Baada ya kula chakula kingi na kizito halafu ukaenda kulala husababisha kazi za kimetabolic kuongezeka sana pamoja na joto la mwili kupanda, hali ambayo inaongezea ubongo wako kufanya kazi sana ukiwa umelala, Kitendo hiki husababisha mtu kuota ndoto nyingi ikiwa ni pamoja na ndoto mbaya wakati wa usku.
USHAURI KWAKO;
- Epuka kula vyakula vizito na kwa kiwango kikubwa sana wakati wa usku
- Epuka kulala mara tu baada ya kula chakula, jaribu kukaa angalau nusu saa ndyo uende kulala
- Epuka kulala kifudifudi, kwani pia unaweza kupatwa na shida kama kupaliwa na mate N.k
- Epuka kuvaa nguo wakati umelala, jaribu kuupa mwili wako nafasi. Tafiti zinaonyesha watu wanaolala na nguo nzito na nyingi kama masweta,mikanda,nguo za kubana sana mwili N.K, huota zaidi wakati wa usku kuliko ambao hupenda kulala bila nguo.
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!