DALILI ZA SUKARI YA KUSHUKA(Ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Hypoglycemia)
SUKARI
• • • • •
DALILI ZA SUKARI YA KUSHUKA( Ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Hypoglycemia)
Kwa kawaida tunaweza kusema sukari ya kushuka ni ugonjwa ambao huhusisha kuwepo kwa kiwango kidogo cha sukari kwenye damu chini ya Wastani wa kawaida, Mfano; Chini ya 3.9mmol/L .
DALILI ZA SUKARI YA KUSHUKA NI PAMOJA NA;
- Mgonjwa kupatwa na hali ya moyo kwenda mbio
- Mgonjwa kupata uchovu sana
- Mgonjwa kupatwa na hali ya kutoa jasho sana
- Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa
- Mgonjwa kupatwa na shida ya kuona vizuri
N.K
-
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!