DAWA YA UTI KWA MJAMZITO(Kumbuka sio kila dawa ni salama kwa Mjamzito)

 UTI KWA MJAMZITO

• • • • • •

DAWA YA UTI KWA MJAMZITO(Kumbuka sio kila dawa ni salama kwa Mjamzito)


Baada ya mama mjamzito kupimwa na kugundulika ana ugonjwa wa UTI(Urinary Track Infection) au maambukizi katika mfumo wa mkojo basi hutakiwa kuanza dawa, lakini sio kila dawa ni salama kwa mama huyu mjamzito.


• Dawa ambayo mama mjamzito hupewa mara nyingi ni Amoxicillin, Pamoja na kuhakikisha anakunywa maji kiasi cha kutosha ili mwili ukae sawa.


KUMBUKA; Matumizi ya dawa kali kwa mama mjamzito huweza kuwa hatari kwake.


Ugonjwa wa UTI huweza kuonyesha dalili mbali mbali kama vile;


- Kuchomwa na mkojo wakati wa kukojoa


- Kukojoa mara kwa mara (japo kwa mama mjamzito hii ni hali ya kawaida)


- Maumivu ya tumbo upande wa kushoto chini kidogo ya kitovu


- Joto la mwili kuwa juu au kupatwa na Homa

N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!