AFYA
• • • • •
DONDOO ZA AFYA KWA SIKU YA LEO
1. Kila siku hakikisha unapata muda wa kufanya mazoezi
2. Kila siku hakikisha unakunywa maji ya kutosha kuanzia Lita 2.5 mpaka 3
3. Hakikisha unakwenda hospital pale unapohisi dalili za ugonjwa wowote
4. Epuka matumizi ya hovio ya dawa ukiwa nyumbani pasipo maelekezo ya kina kutoka kwa wataalam wa afya
5. Hakikisha unakula mlo kamili kila siku,mlo kamili haimaanishi chakula kingi cha kushiba,lahasha! ni chakula chenye virutubisho vyote
6. Epuka kufata ushauri juu ya afya yako kutoka kwa watu ambao sio wataalam wa afya,ikiwemo juu ya kutumia dawa mbali mbali
7. Kama ni mwanamke jifunze kwa kina kuhusu dalili za magonjwa kama kansa ya kizazi au kansa ya matiti,na kujua jinsi ya kujichunguza kila siku
8. Hakikisha unakuwa na uzito usio pitiliza kwani, uzito mkubwa au unene huweza kuwa mlango wa kukaribisha magonjwa mengi kama presha au shinikizo la damu,kisukari, N.K
9. Kwa mama Mjamzito hakikisha unahudhuria kliniki zote bila kukosa
10. Kwa mama baada ya kujifungua hakikisha unampeleka mtoto kliniki bila kukosa
KUMBUKA; Afya ndyo mtaji wako wa kwanza, na kinga ni bora kuliko tiba
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!