IMANI POTOFU
• • • • •
ETI UKIMEZA BUBBLE GUM AU BIG JII INANASA TUMBONI(soma ukwel)
Kwa hali ya kawaida, ni kwamba malighafi au material yaliyotumika kutengeneza bug jii au bubble gum ni ngumu sana kuingia kwenye mfumo wa umeng'enyaji na kuanza kumeng'enywa.
Hivo nini hutokea ikiwa kwa bahati mbaya umemeza big jii?
Kinachotokea ni kwamba, kutona na kushindwak kumeng'enywa kwa material ya big jii hivo hupita moja kwa moja mpaka kwenye utumbo mkubwa, na baada ya muda kuchanganyika na kutolewa nje ya mwili pamoja na kinyesi kama ilivyo kwa njia ya haja kubwa
Japo kiafya matumizi ya vitu hivi sio salama sana hasa hasa kwa watoto,kwani huweza kusababisha madhara mbali mbali kama vile;
-meno kuoza
-Kushtua vimeng'enyo mwilini(enzymes) ndyo maana ulaji wa big jii utashangaa unakuwa na njaa zaidi, badala ya kushiba
- mtoto kupatwa na tatizo la kupaliwa N.K
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!