FAHAMU KUHUSU DALILI ZA SHINIKIZO LA MACHO(Au presha ya macho maarufu kama Glaucoma)

 PRESHA YA MACHO

• • • • •

FAHAMU KUHUSU DALILI ZA SHINIKIZO LA MACHO(Au presha ya macho maarufu kama Glaucoma)


1. Kuona rangi ya upinde wa mvua wakati unapoangalia taa


2. Kupungua uwezo wa kuona kwa pembeni


3. Kupoteza uwezo wa kuona kabsa


4. Macho na kichwa kuuma


5. Macho kuwa makubwa ua kioo cha jicho kuwa cheupe (Kwa watoto)


Nb; Pima macho angalau mara moja kwa mwaka ili kubaini kama una matatizo yoyote ya macho mapema


" Dunia ni angavu, tunza uoni wako"


Afya yangu,Mtaji wangu


Cr: @elimu_ya_afya





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!