MAZIWA MTINDI
• • • • • •
FAIDA NA MAAJABU YA MAZIWA MTINDI(soma makala hii)
Hebu tazama kwa ufupi tu faida za maziwa ya MTINDI :-
Na kisha ujitwalie glass yako ya maziwa ya mtindi leo kwa manufaha zaidi.
1-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia mfumo wa chakula kwa mtoto mdogo kuwa sawa.
2- Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia katika usagaji wa chakula tumboni.
3-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kushambulia vijidudu vinavyo jificha tumboni visababishao magonjwa ya tumbo.
4-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kupunguza madhara ya bacteria wa vidonda vya tumbo.
5-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuleta nafuu ya maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo.
6-Unaweza kujipaka maziwa ya mgando kwenye ngozi hasa kama unashida ya ngozi mfano wa mapunye, miwasho, fungus n.k..
7-Kwa mwanamke mwenye kuhisi miwasho , uchafu , fungus kwenye uke wake anaweza jioshea maziwa ya mtindi kuondoa na kutibu kabisa hali yoyote kama hizo.
8-Maziwa ya mtindi yana bacteria ambaye husaidia kuzuia bacteria wasababishao uvimbe(Saratani) hasa maeneo makuu tumboni, mifupa, ngozi, tumboni n.k..
9-Hufungua choo kwa mtoto mdogo mwenye shida ya choo kwa kipindi kirefu.
10-Hufungua mfumo wa chakula hasa kwa mtu ambaye ameshinda bila kula kwa siku nzima.
Bonus : Tiba ya tumbo linalouma , kichefu chefu, kuhalisha (kuhala) sumu tumboni n.k..
Je umejifunza kitu hapa??
Cc: @_afyazone
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!