TIKITI MAJI
• • • •
FAIDA ZA TUNDA LA TIKITI MAJI KATIKA MWILI WAKO.
1. Tunda hili linasaidia sana katika kupoozesha misuli ya mwili pamoja na kuondoa maumivu ya misuli kwa Watu wanaofanya mazoezi kama ya kucheza mpira,kukimbia N.K Soma zaidi hapa..!!!
2. Tunda la tikiti maji lina kiwango kikubwa cha Alkaline ambayo ni muhim sana mwilini Mfano; kwa wagonjwa wa vidonda vya tumbo.
3. Tunda la tikiti maji husaidia kwa kiwango kikubwa katika kurekebisha mzunguko mzima wa damu mwilini hivo ni muhimu pia kwa wagonjwa wenye matatizo ya shinikizo la damu au presha.
4. Tunda la tikiti maji husaidia sana kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu hivo ni muhimu sana kwa wagonjwa wa Sukari.
5. Tunda hili la tikiti maji lina kiwango kikubwa sana cha maji kama lilivyo jina lake kwa zaidi ya asilimia 92%. Hivo husaidia sana katika kuongeza maji ya mwili.
6. Tunda la tikiti maji husaidia sana kuzuia watu kuumwa magonjwa ya moyo.
7. Tunda la tikiti maji ni chanzo kizuri cha nguvu mwilini.
8. Tunda la tikiti maji huweza kusaidia kumzuiya mlaji kupatwa na matatizo ya Saratani mbali mbali.
9. Tunda hili la tikiti maji husaidia katika kuboresha mifupa ya mwili.
10. Tunda hili la tikiti maji husaidia pia katika kusafisha figo zako.
11. Tunda hili la tikiti maji husaidia kuboresha pamoja na kupandisha kinga yako ya mwili.
HIVO FANYA TUNDA HILI KAMA SEHEMU YA MAISHA YAKO.
-
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!