UKIMWI
• • • • •
🔻HALI YA SASA YA MAAMBUKIZI YA VVU DUNIANI
👉Mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka 2019 watu wapatao million 40 wanaishi na VVU
👉Kwa mwaka 2019 pekee kumekua na maambukizi mapya ya VVU yapatayo million 2
👉Kwa mwaka 2019 pekee watu wapatao 900000 wenye VVU walipoteza maisha
👉Watu wapatao milioni 25 wenye VVU mpaka kufikia mwishoni wa mwezi juni 2020 wanatumia dawa za ARV
👉Watu wapatao milioni 100 wameambukizwa VVU toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981
👉Watu wapatao milioni 40 wenye VVU wamepoteza maisha toka ugonjwa huu utambulike rasmi mnamo mwaka 1981
👉Kila wiki wanawake 5500 wenye umri kati ya miaka 15-25 hupata maambukizi mapya ya VVU
KWA TANZANIA
👉Watu wapatao 200 hupata maambukizi mapya ya VVU kila siku
👉Watu 8 hupata maambukizi ya VVU kila saa
Hii ni kwa mujibu wa TACAIDS na UNAIDS 2020
TUCHUKUE TAHADHARI. INAKUSUBIRI DUNIA NA INAKUTEGEMEA PIA.
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Karibu Sana..!!!
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!