HUDUMA YA KUSAFISHWA BAADA YA MIMBA KUHARIBIKA(maarufu kama mva)

 MIMBA

• • • • •

HUDUMA YA KUSAFISHWA BAADA YA MIMBA KUHARIBIKA(maarufu kama mva)


Huduma ya MVA ambayo kirefu chake ni Mannual vaccum aspiration, ni huduma ya kusafishwa kwa mama baada ya mimba kuharibika ambapo huduma hii hufanyika kwa mimba ambazo ni ndogo tu(mimba ambazo ni chini ya wiki 12). 



Ni hatari sana kutumia njia hii ya kumsafisha mama baada ya mimba kuharibika kama ujauzito ulikuwa mkubwa.


UMUHIMU WA MAMA KUSAFISHWA BAADA YA MIMBA KUHARIBIKA


- Mimba nyingi baada ya kuharibika huwa na mabaki au products ambazo hubakia katika mji wa mimba,kitu ambacho huweza kuleta madhara makubwa kama mama kublid kwa muda mrefu bila damu kukata


- Kuepusha tatizo la Mwanamke kuendelea kupata maumivu makali ya tumbo mara kwa mara baada ya mimba kuharibika



KUMBUKA; huduma hii haitolewi hovio kila mahali, ni bora kwenda hosptal ili kufanyiwa vipimo pamoja na huduma hii ya MVA na wataalam wabobezi wa afya ya mama na mtoto,kama una tatizo hili la mimba ndogo kuharibika(chini ya wiki 12).



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!