JE MSICHANA MDOGO ANAWEZA KUPATA MIMBA KABLA YA KUPATA HEDHI YAKE YA KWANZA?(ndyo,soma hapa)
MIMBA
• • • • •
JE MSICHANA MDOGO ANAWEZA KUPATA MIMBA KABLA YA KUPATA HEDHI YAKE YA KWANZA?(ndyo,soma hapa)
Hii watu wengi hawaelewi na kuna jamii zingine zinaihusisha na imani za kishirikina,kitu ambacho sio kweli, soma hapa kujua ukwel huu kitaalam.
Ukweli ni kwamba,mwanamke anaweza kuwa mjamzito au kubeba mimba kabla hata hajaona period yake ya kwanza kwenye maisha yake ya usichana.
Hii hutokana na ukweli kwamba, yai la mwanamke hukomaa kwanza kabla ya mwanamke kuona hedhi. Hivo baada ya yai kukomaa na kukosa kurutubishwa ndipo hedhi huanza kutoka
Hivo endapo msichana huyu mdogo akikutana na mwanaume wakafanya mapenzi wakati yai tayari limekomaa,anaweza kubeba mimba hata kabla hajaiyona hyo period au hedhi yake ya kwanza.
-
Huu ndyo ukweli wa mambo,hivo tahadhari ni muhimu kwa msichana hata kama hajaiyona hedhi yake ya kwanza,asijidanganye kwamba bado ni mdogo na hawezi kubeba mimba.
-
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!