JE NI KWELI KWAMBA UNAWEZA KUBEBA MIMBA HATA BAADA YA KUWEKA KIJITI?(au kipandikizi)
KIJITI
• • • •
JE NI KWELI KWAMBA UNAWEZA KUBEBA MIMBA HATA BAADA YA KUWEKA KIJITI?(au kipandikizi)
Nilishawahi kukutana na maswali ya namna hii,kwamba baadhi ya wanawake hudai kwamba wamepata mimba lakini wanatumia kijiti au kipandikizi. Je ukweli ni upi?
Ukweli ni kwamba huwezi kupata mimba kama unatumia kijiti au kipandikizi, ingawa unaweza kuonekana una mimba endapo ulipata ujauzito kwanza na bila wewe kujua ndyo ukaenda kuweka kijiti.
Wataalam wa afya wanashauriwa kukupima na kuhakikisha kwanza,kwamba wewe huna mimba,ndipo uanze kutumia njia ya uzazi wa mpango ambayo umeichagua.
Hivo case kama hizo huweza kutokea endapo,wewe hukupimwa,ila ulisema tu mimi nataka kutumia njia flani ya uzazi wa mpango na ukaanza kutumia bila kupimwa mimba wala bila wewe kujua kwamba tayari ni mjamzito.
KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!