MWANAUME
• • • • • •
JE NI TATIZO UUME KUSIMAMA WAKATI UKIWA UMELALA?
Watu wengi hupatwa na hii hali ya uume kusimama wakiwa wamelala, na wengine ikifika asubuhi ndyo wanagundua kama uume umesimama, wakidhani kwamba hali hii hutokea wakati wa asubuhi tu.
JE HILI NI TATIZO?
Kwa hali ya kawaida,mwanaume ambaye hana matatizo yoyote uume wake husimama mara 3 mpaka 5 Kwa usku Mzima. Hivo mpaka hapo uume kusimama wakati umelala ni kiashiria kwamba afya yako ya uzazi ni salama.
Hivo basi moja ya kipimo cha kuchunguza kama mtu hana matatizo ya uzazi ikiwemo hili la Nguvu za kiume ni pamoja na uwezo wa uume wake kusimama wakati akiwa amelala.
Hata hivo athari ya kisaikolojia kwa mwanaume huweza pia kupelekea mwanaume kusimamisha uume wake wakati amelala Mfano ; akiwa katika hali ya msongo wa mawazo N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU MASWALI TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Au weka Comment yako hapo chini kwenye ukurasa wetu.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!