JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME(au jinsia yoyote ya mtoto)

 JINSIA 

• • • • •

JINSI YA KUPATA MTOTO WA KIUME(au jinsia yoyote ya mtoto)


Katika kupata jinsia yoyote ya mtoto kuna vitu viwili katika sayansi, Kuna swala la vinasaba au Chromosomes pamoja na uhai wa mbegu ya kiume pamoja na yai la mwanamke.


Utangulizi, tazama vifupisho hivi,kisha tuendelee


1. Mbegu ya kiume ina vinasaba vya aina mbili tofauti yaani- XY


2. Na yai la mwanamke lina vinasaba viwili vya aina moja yaani-XX


Baada ya mbegu ya kiume kukutana na kulirutubisha yai la mwanamke,tunapata majibu haya hapa chini;


1. Mbegu + Yai =Mtoto

    (XY)         (XX)  (jinsia)


2. XY + XX = XX (wakike)

    XY   + XX   = XY (wakiume)


Kumbuka; Inayotangulia kutoka kwenye mbegu ya kiume ni Y na hufa mapema kabla ya X ( kwenye mbegu ya kiume)


MAELEZO KUHUSU JINSIA YA MTOTO


- Endapo Mmeshirikiana tendo la ndoa siku 2 au 3 kabla ya siku ya yai kutoka yaani Ovulation, uwezekano wa kinasaba aina ya Y kutoka na kufa mapema ni mkubwa, hivo mbegu ya kiume kukaa mpaka siku yai linatoka,kinasaba cha Y kitakuwa hakipo bali kuna kinasaba cha X ndyo kimebakia, hivo kitakutana na cha X kutoka kwa yai la mwanamke na kupata mtoto wa Kike.


X + X = XX Jinsia ya kike


- Endapo mmefanya mapenzi kuanzia siku yai limetoka yaani ovulation, Uwezekano wa kinasaba cha Y  kutoka kwenye mbegu ya kiume kutoka na kukutana na cha X kutoka kwenye yai la mwanamke ni mkubwa, hivo kupata jinsia ya mtoto wa Kiume.


Y + X = XY Jinsia ya kiume


NB; Hivo basi ili kujua na kupanga mahesabu yako vizuri lazima uwe na uhakika kuhusu mzunguko wako wa hedhi ikiwa ni pamoja na siku za hatari,siku ambazo yai linatoka yaani siku ya Ovulation.


Hivo basi kwa wewe ambaye mzunguko wako wa hedhi unabadilika badilika kila mara yaani Kuwa na IRREGULAR MENSTRUAL CYCLE, inaweza kuwa changamoto sana kwako.


-


KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!