KUPATWA NA TATIZO LA KIBOFU CHENYE AIBU (Paruresis,soma kujua shida hii)

 KIBOFU

• • • • •

KUPATWA NA TATIZO LA KIBOFU CHENYE AIBU(soma kujua shida hii)


Tatizo hili la Paruresis au kibofu chenye aibu huhusisha mtu kupatwa na hali ya kushindwa kukojoa kabsa wakati alikuwa anahisi mkojo, afikapo chooni pakiwa na watu wengi. 


Mfano ni mtu akiwa maeneo ya public toilets kama stend,sokoni, au sehemu yoyote ambayo huhusisha watumuaji wengi wa choo


Tafiti zinaonyesha kwamba tatizo hili la paruresis hutokea kwa Wanaume 7 kati ya Wanaume 100.


Ambapo kwa asilimia kubwa shida hii ya mtu kushindwa kukojoa kwenye vyoo ambavyo kuna watu wengi hutokea pale ambapo misuli ya kibofu cha mkojo kufunga na kuzuia mkojo usitoke kabsa.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!