PUNYETO
• • • • •
MADHARA YA KUPIGA PUCHU(punyeto)
Kila kitu chenye faida basi kina hasara zake. Tabia hii ya kupiga puchu au punyeto hufanyika kwa watu wengi, huku ikichangiwa na sababu mbali mbali kama vile;
Kupenda kuangalia picha na video za ngono kila mara
Kukaa kwa muda mrefu pasipo kukutana na mwanamke kimwili
Hisia za kimapenzi zilizokithiri
N.K
MADHARA YA KUPIGA PUCHU(punyeto) NI PAMOJA NA;
• Kuwa na shida ya kushindwa kujidhibiti na kuwahi kukojoa wakati wa mapenzi kabla ya mwenzako
• Kupungua kwa Nguvu za kiume, endapo tabia hii inafanyika kila siku
• Athari katika mishipa ya uume
• Kupatwa na uchovu wa mwili uliokithiri
• Kupatwa na shida ya maumivu ya kiuno au mgongo
• Kuweka kupata maumivu ya mishipa ya uume mara kwa mara
• Kupatwa na maumivu ya korodani kwa baadhi ya wanaume.
N.K
ANGALIZO; EPUKA Haya ili kuacha tabia hii
- Epuka kuangalia picha pamoja na video za ngono mara kwa mara
- Epuka kukaa na watu wenye tabia hii ya kupiga puchu kila mara
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!