Ticker

6/recent/ticker-posts

MADHARA YA KUTEMBEA PEKU(Ikiwemo kwa Mama Mjamzito)



 KUTEMBEA PEKU

• • • •

MADHARA YA KUTEMBEA PEKU(Ikiwemo kwa Mama Mjamzito)


Kutembea peku ni kitendo cha mtu kutembea bila kuvaa kitu chochote kinachokinga miguu yake isikanyage chini Mfano; viatu,ndala,N.K


Kiafya sio vizuri kwa mtu kutembea peku kwani unajiweka katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa mbali mbali Mfano;


Ukitembea peku mara kwa mara unakuwa kwenye hatari ya kushambuliwa na minyoo ambayo huweza kupenya kutoka aridhini na kuingia moja kwa moja kwenye mwili wako kwa kupitia miguuni. Na minyoo hii huanza kuleta madhara mbali mbali kama vile;


Mtu kupatwa na tatizo la kuishiwa na damu,hali ambayo huwakumba watu wengi wakiwemo wajawazito baada ya kushambuliwa na minyoo hii.


Epuka kutembea peku sio salama kwa afya yako..!!!  







Post a Comment

3 Comments

Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)