MADHARA YA ULAJI WA CHIPS KILA SIKU

 CHIPS

• • • • •

MADHARA YA ULAJI WA CHIPS KILA SIKU


Watu wengi wamekuwa wakikipenda sana chakula hiki cha Chips, Huku wengine wakisema Chips sio chakula bali Ni Mboga. Ulaji wa chips kila siku una madhara makubwa kwa afya yako. Kama huo ndyo mlo wako wa kila siku acha mara moja.


KAMA HIKI NDYO CHAKULA CHAKO CHA KILA SIKU ALAFU UNATAKA KUPUNGUA MWILI


➡️ SAHAU KUPUNGUA MWILI


 ➡️ PIA JIANDAE KUPATWA NA MATATIZO KAMA VILE;


  1. YA KISUKARI
  2. MATATIZO YA UZAZI
  3. TATIZO LA Polycystic Ovary Syndrome(PCOS)
  4. UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
  5. Tatizo la Shinikizo la Damu au PRESHA 
  6. Tatizo la Uzito wa Mwili Kuzidi
  7. N.K

NB; Ulaji wa chips usiwe wa kila siku au kila mara, maana kuna wengine wanakula kabsa kutwa mara mbili au tatu. Kuna madhara katika aina hii ya chakula ukila mara nyingi.

KWA USHAURI ZAIDI AU ELIMU TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!