PILIPILI HOHO
• • • • • •
PILIPILI HOHO ZA NJANO NA UWEPO WA VITAMIN C KWA WINGI
Watu wengi wamezoea kuona pilipili hoho za rangi ya Kijani lakini zipo pilipili hoho za rangi mbali mbali Mfano; Kuna pilipili hoho za rangi ya Njano,Kuna pilipili hoho za rangi Nyekundu na kuna pilipili hoho hizi za rangi ya Kijani.
Katika makala hii tunazungumzia pilipili hoho za rangi ya Njano pamoja na uwepo wa Vitamin C kwa wingi ndani ya aina hizi za pilipili hoho.
Tafiti zinaonyesha kwamba pilipili hoho za rangi ya Njano zina Vitamin C kwa kiasi kikubwa sana hata kuliko baadhi ya matunda na mbogamboga nyingine.
Soma hapa; Ukichukua pilipili hoho za rangi ya Njano kikombe kimoja pamoja na matunda jamii ya machungwa kikombe kimoja.
Pilipili hoho hizi za rangi ya Njano zitatoa ujazo wa miligram 341.3 za Vitamin C, Lakini Matunda haya jamii ya machungwa yatatoa ujazo wa miligram 51.1 tu za Vitamin C.
Je wewe ushawah kutumia aina hii ya pilipili hoho?
Kama una swali lolote niandikie hapo kwenye Comment au tuma ujumbe kwa namba hizi hapa chini;
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!