UTI
• • • • • •
TABIA HII HUWEZA KUKUSABABISHIA UTI AMBAYO INAJIRUDIA MARA KWA MARA
Kuna Tabia moja ambayo watu wengi hawajui kuwa ni mojawapo ya njia za kupata ugonjwa wa U.T.I.
.
Tabia hiyo ni Kwenda chooni na kukuta kuna maji kwenye chombo cha kuhifadhia maji alafu kwa bahati mbaya zaidi unakuta hayo maji yamekaa mda mrefu,alafu mtumiaji mwingine anakuja na kuongezea maji mengine juu ya yale,pasipo kumwaga kwanza yale ya zamani na kusafisha chombo cha maji ndipo uweke maji mengine.
.
Tabia hii imekuwa ni chanzo kikubwa cha kuwapa Bacteria au wadudu nguvu ya kuzaliana,na pale mtumiaji anapoyatumia yale maji,wadudu wale hupita moja kwa moja kwenye njia ya mkojo na kusababisha Ugonjwa unaojulikana kama U.T.I.
.
Kuacha tabia hii inawezekana anza leo, afya yako kwanza.
#afyaclass
#ombenimkumbwa
TAZAMA VIDEO HII;
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!