TATIZO LA MAUMIVU YA MISULI YA MKONO(chanzo chake pamoja na tiba)

 MKONO

• • • •

TATIZO LA MAUMIVU YA MISULI YA MKONO(chanzo chake pamoja na tiba)


Kuna sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia kwa kiasi kikubwa mtu kupatwa na shida hii ya maumivu katika misuli ya mkono na baadhi ya sababu hizo ni pamoja na;


- Kujishuhulisha na shuhuli nyingi za kutumia mikono pamoja na nguvu


- Kupatwa na shida ya kuanguka au ajali zingine kama kugongwa na kitu kizito N.K


- Kuwa na tatizo ambalo huhusisha hali ya kuchoma choma pamoja na maumivu ya misuli ya mikono ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Carpal tunnel syndrome


- Kuwa na tatizo la kisukari


- Kuwa na shida ya uzito kupita kiasi


- Lakini pia hali hii huweza kutokea kwa wakina mama wajawazito


MATIBABU YA TATIZO LA MAUMIVU YA MISULI YA MIKONO NI PAMOJA NA;


- Kufanya mazoezi maalum kwa maelekezo kutokwa kwa wataalam wa afya


- Kutumia dawa mbali mbali za kutuliza hali ya maumivu jamii ya Steroids au Antinflammation


- Punguza kazi ngumu zinazohusisha mikono kwa muda


N.K



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!