TATIZO LA MWANAMKE KUBLID DAMU NYINGI NA KWA MUDA MREFU AKIWA KWENYE HEDHI(chanzo ni nini?soma hapa.!!)
HEDHI
• • • •
TATIZO LA MWANAMKE KUBLID DAMU NYINGI NA KWA MUDA MREFU AKIWA KWENYE HEDHI(chanzo ni nini?soma hapa.!!)
Tatizo hili la kublid damu nyingi na kwa muda mrefu huwapata wanawake wengi kwa hivi sasa, na wengine bila kujua hata chanzo cha shida hii ni nini. soma hapa.!!
SABABU ZA MWANAMKE KUBLID DAMU NYINGI NA KWA MUDA MREFU
- Kwanza lazima ufahamu hali ya vichocheo vyako vya mwili hutakiwa kuwa katika balanced state. Kitu chochote ambacho husababisha shida ya mvuruguko wa vichocheo vya mwili huweza kuleta matokeo mengi kwenye mwili wako.
Hivo basi sababu kubwa ya mwanamke kublid damu nyingi na kwa muda mrefu akiwa kwenye kipindi cha hedhi, hutokana na tatzo hili la mvurugiko wa vichocheo vyake vya mwili ambavyo huletwa na mambo mbali mbali kama vile;
• Matumizi ya baadhi ya njia za uzazi wa mpango kama vile sindano, huweza kuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili la kublid damu nyingi na kwa muda mrefu kipindi mwanamke akiwa hedhini.
• Matumizi ya baadhi ya dawa ambazo zina vichocheo ndani yake au zinazofanya kazi ya kuongeza au kupunguza baadhi ya vichocheo mwilini.
• Chanzo cha magonjwa mbali mbali hasa yale yanahohusu mfumo mzima wa damu au yanayoshambulia tezi mbali mbali za mwili kama vile thyroid gland.
• Tatizo la msongo wa mawazo wa muda mrefu huweza kusababisha hali ya mabadiliko pamoja na mvurugiko wa vichocheo vyako vya mwili.
• Sababu nyingine ni pamoja na mwanamke kupatwa na tatizo la damu kushindwa kuganda yaani kwa kitaalam hujulikana kama Coagulopathy
N.K
-
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!