Ticker

6/recent/ticker-posts

UFAHAMU KWA KINA UGONJWA WA MALALE AU TRYPANOSOMA(chanzo,dalili na matibabu yake)



 MALALE

• • • •

UFAHAMU KWA KINA UGONJWA WA MALALE AU TRYPANOSOMA(chanzo,dalili na matibabu yake)


Huu ni ugonjwa ambao huhusisha mtu kusinzia sinzia hasa wakati wa mchana na ugonjwa huu husababishiwa na vimelea vijulikanavyo kama Ndorobo au kwa kitaalam Trypanosoma na kuenezwa na mbung'o.


DALILI ZA UGONJWA WA MALALE NI PAMOJA NA;


- Mgonjwa kusizia sinzia mara kwa mara hasa wakati wa mchana


- Joto la mwili kupanda au kuwa na homa


- Kupata maumivu makali ya misuli,joint pamoja na viungi mbali mbali vya mwili


- Kuwashwa sana sehemu ambapo umeng'atwa na mbung'o


- Kupatwa na uvimbe sehemu ambapo umeng'atwa na mbung'o


- Mgonjwa kupoteza kabsa hamu ya kula


- Mgonjwa kukosa usingizi nyakati za usku sana


- Mapigo ya moyo kwenda mbio sana


- Mgonjwa kupatwa na tatizo la kushindwa kutembea


- Mgonjwa kupatwa na tatizo la kushindwa kuongea,kupoteza kumbukumbu pamoja fahamu pia


- Mgonjwa kukonda sana au kupungua uzito kwa kiasi kubwa ndani ya muda mfupi




KUMBUKA; ugonjwa huu wa malale huweza kuwapata sana watu wenye tabia ya kuchota maji kwenye mito,mabwawa,wachomaji wa mikaa, warinaji wa asili, na wale ambao wapo maeneo ambayo yana mbung'o sana



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments