UGONJWA WA AKILI MAARUFU KAMA SCHIZOPHRENIA(chanzo,dalili na tiba)

 AKILI

• • • • • 

UGONJWA WA AKILI MAARUFU KAMA SCHIZOPHRENIA(chanzo,dalili na tiba)


schizophrenia ni miongoni mwa magonjwa ya akili ambayo husumbua sana wagonjwa wengi wenye matatizo ya akili


Ugonjwa huu wa akili wa Schizophrenia ni miongoni mwa magonjwa ya akili ambayo husababisha hali ya utofauti mkubwa wa mtu na akili yake, huku ukihusishwa moja kwa moja na kutokea kwa hali ya kuchanganyikiwa kwa mgonjwa tofauti na magonjwa mengine ya akili


DALILI ZA UGONJWA WA SCHIZOPHRENIA NI PAMOJA NA;


- Mtu kukaa peke yake kila mda


- Mtu kuanza kuongea mwenyewe hata wakati anatembea barabarani


- Wengine hupenda kuimba na kujiongelesha wenyewe


- Mgonjwa kuanza kusema kwamba anahisi kuna vitu vinatembea kwenye mwili wake wakati hakuna chochote


- Mgonjwa kuongea vitu mbali mbali ambavyo kwa hali ya kawaida havina uhalisia wowote


- Mgonjwa kudai kwamba chakula chake kimewekwa sumu


- Kuanza kubeba mizigo ambayo hata haina maana


- Kuanza kuvaa nguo nyingi na kwa wakati mmoja


CHANZO CHA TATIZO HILI


Kuna baadhi ya mambo mbali mbali ambayo huweza kuchangia mtu kupatwa na tatizo hili


- Ugonjwa huu huweza kuwa wa kurithi, hivo mtu huweza kupata vinasaba vya ugonjwa huu kutoka katika familia


- Mtu kuwa na akili nyingi hadi kufikia hatua ya kuchanganyikiwa na kuwa na shida hii


- Hali ngumu ya kimaisha


- Kupatwa na janga ambalo ni gumu sana kwenye maisha yako


- Kufukuzwa kazi 

N.K


MATIBABU YA TATIZO HILI LA SCHIZOPHRENIA


- Matibabu ya tatizo hili la akili,huhusisha mambo mengi ikiwa ni pamoja na;


• Matibabu ya kisaikolojia kwa kutafta wanasaikolojia na kumsaidia mtu huyu


• Matumizi ya dawa mbali mbali za kudhibiti dalili zote za ugonjwa huu


• Pamoja na kuhusika moja kwa moja na watu wanaokaa na mtu huyu



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!